GET /api/v0.1/hansard/entries/1160832/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1160832,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160832/?format=api",
"text_counter": 98,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, nina hoja ya nidhamu. Sijui kama umesikia na masikio yako ya kwamba, Sen. Olekina anasema ya kwamba hizi Kanuni za Bunge ziandikwe kwa lugha ya Kimaasai. Tuko na lugha 45. Sasa yeye akisema anataka Kanuni za Kudumu za Seneti ziandikwe katika lugha ya kimaasai, sembuse lugha zingine? Wajua huyu mmaasai sijui ana---"
}