GET /api/v0.1/hansard/entries/1160834/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1160834,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160834/?format=api",
"text_counter": 100,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Tunaelewa ya kwamba huyu Seneta wa Narok, anapenda wamaasai sana na wamaasai wanampenda. Mara kwa mara, yeye hunionyesha picha za wamaasai wakiwa wamejaa ndani nyumba yake. Lakini hiyo sio lazima Kanuni zetu za Kudumu za Bunge, ziandikwe kwa lugha ya Kimaasai. Nataka kumkosoa ya kwamba hatutakuwa na wakati huo wa kuandika lugha zote 45 za makabila yote ya Kenya. Asante, Bw. Spika wa Muda."
}