GET /api/v0.1/hansard/entries/1160836/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1160836,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1160836/?format=api",
"text_counter": 102,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, bibilia imeandikwa katika lugha zote za dunia. Bunge la Taifa au Bunge la Seneti ni mahali ambapo viongozi wanakuja kushauriana ili waweze kusaidia kule walikotoka. Katika Kaunti ya Narok, kuna watu wengi ambao hawawezi kuzungumza lugha ya Kiswahili. Hata mimi najaribu sana, kwa sababu nimeketi karibu na ndugu yangu ambaye alibahatika kuzaliwa katika kaunti ambayo watu huzungumza katika lugha ya Kiswahili sana. Ni vizuri tuendelee kuzingatia lugha zetu tulizonazo hapa Kenya na pia utamaduni wetu. Ni lazima pia sisi --- how do you say ‘to be proud of?’"
}