GET /api/v0.1/hansard/entries/1161286/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1161286,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1161286/?format=api",
"text_counter": 125,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kwa hivyo, naunga mkono sheria hii na ninaomba Maseneta wote waizingatie ili tuweze kuipitisha kwa haraka ili iweze kusaidia na iwe ni mchango mkubwa kuleta uchaguzi ambao utakuwa wa haki na usawa katika inchi yetu. Asante Bi. Naibu Spika."
}