GET /api/v0.1/hansard/entries/1161463/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1161463,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1161463/?format=api",
"text_counter": 59,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, ni swala la kitaifa kwa sababu kwa miezi mitatu, wafanyikazi hawajalipwa. Shirika ninalozungumzia hapa ni la Kiserikali wala sio la mtu binafsi. Kwa hivyo, lazima Serikali ijue na itueleze kwa nini wafanyikazi hao hawajalipwa."
}