GET /api/v0.1/hansard/entries/1161528/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1161528,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1161528/?format=api",
    "text_counter": 124,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada wa ugavi wa raslimali kwa kaunti zetu. Ningependa kupongeza kwa Mswada huu kwa sababu unaongeza kiasi fulani cha pesa kwa serikali za kaunti. Inavyojulikana, kaunti zetu zinaongeza huduma katika"
}