GET /api/v0.1/hansard/entries/1163064/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1163064,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163064/?format=api",
"text_counter": 78,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi Spika wa Muda, ni jambo la aibu kuona abiria wengine wanatoka ilhali kiongozi anawekwa kando na kukabiliwa na maswali asiyo yaelewa. Maswali kama mbona alitoka nje ya nchi, amerudi kutoka wapi, alitoka vipi na aliingia vipi. Ni jambo la kusikitisha na halina heshima."
}