GET /api/v0.1/hansard/entries/1163065/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163065,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163065/?format=api",
    "text_counter": 79,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Kwa kukosewa heshima hivi na Serikali, tungetaka kujua kama Bunge, tukiongozwa na Kiongozi wa walio wengi, Sen. Poghisio, aliyepeana hiyo idhini ni nani? Tunamtaka aliyepeana hiyo idhini ya kuzuiliwa kwa Maseneta kutosafiri nje, aje mbele ya hili Bunge atueleze ni nani aliyempa hayo madaraka."
}