GET /api/v0.1/hansard/entries/1163066/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1163066,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163066/?format=api",
"text_counter": 80,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Ni jambo la kusikitisha Bi. Spika wa Muda familia au watu wanakungoja nje unaporudi na huku unachakurwa na askari wakichunguza kwa nini ulitoka, kwa nini unarudi na sababu ya kuenda nje. Jambo hili lafaa tulichukulie hatua."
}