GET /api/v0.1/hansard/entries/1163071/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163071,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163071/?format=api",
    "text_counter": 85,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bunge ni taasisi huru. Tunachukua mamlaka yetu kutoka kwa Katiba. Hatuna jukumu la kuripoti kwa taasisi nyingine yeyote katika Jamhuri ya Kenya. Inasikitisha kwamba wabunge wanazuiliwa na maafisa wadogo katika idara ya Uhamiaji wakati wanaposafiri nje kuenda shughuli za Bunge."
}