GET /api/v0.1/hansard/entries/1163072/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1163072,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163072/?format=api",
"text_counter": 86,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Ziara ya Sen. Omogeni na wenzake ilikuwa ziara rasmi iliyoidhinishwa na Spika wa Bunge hili. Fedha zililipwa na Bunge hili kuwawezesha wao kusafiri kuenda nchi waliyohitajika kusafiri. Ni aibu kumlazimisha Sen. Omogeni kukaa uwanjani wa ndege kwa muda wa dakika 45 huku afisa akiulizia juu ya hatma yake."
}