GET /api/v0.1/hansard/entries/1163073/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163073,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163073/?format=api",
    "text_counter": 87,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Sen. Omogeni amezungumzia kuhusu orodha ya Wabunge wa Seneti ambao iko na Ofisi ya Uhamiaji. Inafaa tujue wazi orodha hiyo imeandikwa na nani, na mbona orodha hiyo imepelekwa huko na wala kutoileta hapa Bunge la Seneti ili tujue wasioruhusiwa kusafiri nje ni akina nani na sababu ya kisheria inayotakikana."
}