GET /api/v0.1/hansard/entries/1163075/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163075,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163075/?format=api",
    "text_counter": 89,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Jambo hili ni la muhimu kwa sababu wengine wetu tunaazima ya kusafiri karibuni. Hatungependa kupotezewa wakati ama kuzuiliwa uwanjani wa ndege ilhali mambo yanaweza kuzungumzwa au mhusika kujieleza katika Bunge ili jambo kama hili lisirudiwe."
}