GET /api/v0.1/hansard/entries/1163098/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163098,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163098/?format=api",
    "text_counter": 112,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, kusema ukweli pia mimi imenifika. Mwezi jana nilikuwa nasafiri na familia yangu kwenda Tanzania. Nilipofika mpaka wa Kenya na Tanzania pale Lunga Lunga na Horohoro, niliwekwa pale for almost one hour, huku passport yangu ikiwa imechukuliwa na nikaambiwa nisubiri kidogo afisa amepigiwa simu anakuja.Sikujua ni kwa sababu gani."
}