GET /api/v0.1/hansard/entries/1163100/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1163100,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163100/?format=api",
"text_counter": 114,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Sasa nikajiuliza, kwani kuna shida gani? Sisi ni Wabunge na Maseneta ambao tuna uwezo wa kwenda safari wakati wowote kuwakilisha Serikali na pia kama ni safari ya karibu katika nchi zetu za Afrika hapa tunaweza kwenda. Hii tabia ambayo iliyoko, ni lazima tuweze kujua shida hii itatatua namna gani."
}