GET /api/v0.1/hansard/entries/1163102/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1163102,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163102/?format=api",
"text_counter": 116,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Kwa hivyo naomba, kama ni Kamati katika Seneti au kamati yoyote ambayo itashughulikia hili jambo, ifuatilie hili jambo ili tuweze kupewa njia mwelekeo ya kufuata. Hii ni kwa sababu kesho, nitasafiri na watoto wangu tena na nikifika naweza rudishwa tena."
}