GET /api/v0.1/hansard/entries/1163104/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163104,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163104/?format=api",
    "text_counter": 118,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Hata saa hii nataka kusafiri kwenda Tanzania kwa sababu mpaka wa Lungalunga ni jirani kabisa. Naogopa kwenda kwa sababu nikifika, naweza kurudishwa tena bila sababu yoyote. Naomba hili jambo lishughulikiwe kwa haraka sana."
}