GET /api/v0.1/hansard/entries/1163541/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163541,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163541/?format=api",
    "text_counter": 54,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika, hawa walimu waliofutwa na wamefanya kazi miaka sita, wana haki mbele ya sheria za wafanyikazi na ndani ya hili Bunge la Seneti kuona ya kwamba haki zao hazizami na zimetekelezwa."
}