GET /api/v0.1/hansard/entries/1163542/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163542,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163542/?format=api",
    "text_counter": 55,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Wana bahati kwa sababu katika hiki kitengo ya kwamba wameachishwa kazi, katika Bunge hili la Seneti, kunaye mmoja wetu, ikiwa ni mimi, ambaye nilikuwa Jaji wa Mahakama Kuu hasa katika upande wa wafanyikazi. Kitendo kilichofanywa cha kuwafanya hawa wafanyikazi kupoteza kazi zao ni jambo la kusikitisha."
}