GET /api/v0.1/hansard/entries/1163543/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163543,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163543/?format=api",
    "text_counter": 56,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika, hivi sasa wako nyumbani; hawana kazi, wanateseka na wengine wana watoto ilhali kufutwa kwao kazi sio kwa ajili ya kupenda kwao, bali ni kwa sababu ya mtu mmoja ama mabepari wawili au watatu, walioketi katika ile kaunti wakaona ya kwamba katika maoni yao, hawa walimu wanafaa kuondolewa kwenye kazi. Tunasema hilo si jambo la usawa."
}