GET /api/v0.1/hansard/entries/1163544/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1163544,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163544/?format=api",
"text_counter": 57,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi. Naibu Spika, hii ni taarifa muhimu kwetu sisi. Kama hii ni taarifa muhimu basi ile Kamati ambayo inahusika kuangalia jambo kama hili, iweze kuona ya kwamba haki imetendeka kwa hawa walimu. Ikiwa itawezekana basi waweze kurejeshwa kazini."
}