GET /api/v0.1/hansard/entries/1163658/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1163658,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163658/?format=api",
"text_counter": 171,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Sen. Cherargei, amefanya research yake na kujua pesa imetoka mahali fulani na kuongezwa. Waziri akuje kwenye makao ya Kamati na kutueleza kinaga ubaga ni vipi hadi pesa ikaongezeka nani kwa sababu gani? Barabara hii itaisha lini ili tuweze kuisheherekea? Naunga Sen. Cherargei katika hii Kauli ametoa. Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi."
}