GET /api/v0.1/hansard/entries/1163659/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163659,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163659/?format=api",
    "text_counter": 172,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "The Temporary Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": " Asante, Sen. Wario. Kile ambacho nimesikia ukisema ni kwamba mimi naelewa Kiswahili. Nilijua ulitaka kusema ya kwamba nitasema barabara ni ya moja kwa moja. Hukusema kwamba mimi najua mambo zaidi kuhusu ile barabara; najua ulitaka niseme barabara ile ni ya moja kwa moja. Hon Senators, we do not have quorum to execute Order Nos 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15 and 16. I, therefore, defer them."
}