GET /api/v0.1/hansard/entries/1163742/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1163742,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163742/?format=api",
"text_counter": 255,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi. Wakongwe walio mashinani na wale ambao hawajabahatika ni watu walio na shida tofauti tofauti katika jamii na kaunti tofauti tofauti. Kwa hivyo, ni muhimu sana kuangalia masilahi ya watu hao popote walipo, hata iwe mashinani ambako tunawakilisha katika Bunge hili."
}