GET /api/v0.1/hansard/entries/1163744/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163744,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163744/?format=api",
    "text_counter": 257,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Kwa mfano, kuna jamii za kuhamahama ambazo mimi nawakilisha katika Bunge hili la Seneti. Wazee na wasiobahatika katika jamii wanaishi katika sehemu ambazo hakuna network. Kwa hivyo, ni vigumu sana kuwafikia. Kama ilivyosemwa hapo awali, hata wazee wa “Nyumba Kumi” pia wako mbali na wazee ambao wanaishi katika sehemu hizo. Ni vigumu kwao kupata habari kikamilifu kuhusu yale yanayoendelea katika Jamuhuri yetu ya Kenya."
}