GET /api/v0.1/hansard/entries/1163745/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163745,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163745/?format=api",
    "text_counter": 258,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Kuna pesa ambayo wazee hupewa. Kule Tana River, wazee hukaa hata kwa miezi sita bila kupata pesa hizo. Utawahurumia ukijua mwendo wanaosafiri kwenda kwa benki ama posta. Ili kupata hiyo pesa kidogo, humlazimu mzee kusafiri kilomita nyingi katika sehemu ambazo barabara ni mbovu na hazipitiki haswa wakati wa mvua. Kuna mito ambayo huwa wakati wa mvua. Kwa hivyo, huwa vigumu kwa wazee hao kuvuka na kufika katika sehemu za kupata pesa zao. Wazee hao wanafaa kufikiwa mahali waliko. Mzee wa miaka 70 au 80---"
}