GET /api/v0.1/hansard/entries/1163746/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1163746,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163746/?format=api",
"text_counter": 259,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Acheni niwaeleze jambo: Wazee kutoka jamii za wafugaji hawafi haraka kwa sababu wanakunywa maziwa na kula chakula cha asili. Hawatumii vyakula vya kemikali za siku hizi. Wengi wao huishi zaidi ya miaka 100. Wazee wa miaka zaidi ya 90 au 100 wakiwa mbali na pahali ambako kuna huduma, basi wao hupata shida. Kunafaa kuwa na sheria ili wazee hao wafikiwe mahali walipo. Hiyo itasaidia watu sana hasa wakongwe."
}