GET /api/v0.1/hansard/entries/1163748/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163748,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163748/?format=api",
    "text_counter": 261,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Kuna wakati nilienda uzunguni. Huko kuna sehemu zilizotengwa na zinajulikana kama homes for old people. Inamaanisha kwamba kuna mahali ambapo wazee wametengewa. Serikali inawashughulikia kwa kuwapa pesa, kuwapelekea madaktari na kuwapa lishe. Kwa hivyo, wako katika hali sawa."
}