GET /api/v0.1/hansard/entries/1163754/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163754,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163754/?format=api",
    "text_counter": 267,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "The Temporary Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": " Asante Sen. Wario. Nimesikia ukisema kwamba wazee wanasafiri mchana kutwa ndio waweze kupata mahali ambapo watapata malipo yao. Nilidhania utasema ya kwamba, zile Kshs2000 ambazo zinatajwa zinaweza zikawa ni chache pengine kuwe na mikakati ya kuongeza zile hela. Sen. Isaac Mwaura."
}