GET /api/v0.1/hansard/entries/1163755/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1163755,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1163755/?format=api",
    "text_counter": 268,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Asante sana Bw.Spika wa Muda. Utaninuia radhi nina sauti ambayo sio sahihi zaidi kwa sababu nina homa kidogo, lakini ninaweza kusikika kidogo kwa sababu heri nusu shari kuliko shari kamili. Ningependa kuunga mkono Hoja hii. Nimetoka kule Ruiru na nilikua na wana"
}