GET /api/v0.1/hansard/entries/1164819/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1164819,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1164819/?format=api",
"text_counter": 67,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Khaniri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 171,
"legal_name": "George Munyasa Khaniri",
"slug": "george-khaniri"
},
"content": "Nimekumbushwa pia na Sen. Sakaja kuhusu kifo cha mpendwa ambaye alikuwa rafiki wangu wa karibu sana, Mhe. Mellab Atemah. Alikuwa Mbunge Mteule katika Bunge la Kaunti ya Jiji la Nairobi. Tumejuana na Mhesh. Atemah kwa miaka mingi sana akiwa rafiki yangu wa karibu. Ni masikitiko makubwa ya kwamba tumempoteza akiwa na umri mdogo sana. Alikuwa na matarajio mengi katika siasa na maisha yake. Natoa rambirambi zangu na familia yangu kwa familia yake, jamaa na mume wake. Mwenyeze Mungu awalaze wote watatu pahali pema mbinguni."
}