GET /api/v0.1/hansard/entries/1165254/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1165254,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165254/?format=api",
    "text_counter": 60,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Redio imechangia sana katika kuleta maendendeleo, muamko mpya, kuelimisha watu na vile vile starehe kwa sababu wengi wanapata burudani. Ukiwa kazini, unaweza kufungua redio yako wakati wa saa nne mpaka saa sita na kusikiliza nyimbo za burudani. Kwa hivyo, redio inasaidia sana katika mchakato wa maendeleo, siasa na maisha kwa jumla."
}