GET /api/v0.1/hansard/entries/1165750/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1165750,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165750/?format=api",
    "text_counter": 156,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika, tumekuwa tukijadiliana pale chini na sikutaka kumkatiza Sen. Farhiya lakini sijui kama ni mazingaombwe ama ni sayansi ama ni kitu gani kinaendelea ndani ya hili Bunge la Seneti. Kuna taa moja linazunguka mataa mengine yote hayazunguki na hatujui sababu yake. Inaweza kuwa hatari kwetu sisi hapa ndani na kama kuna mtu anaweza kutufafanulia ni kwa nini taa moja lina zungukazunguka. zingine zote zimetulia na moja inatangatanga."
}