GET /api/v0.1/hansard/entries/1165777/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1165777,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165777/?format=api",
"text_counter": 183,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi. Naibu Spika, ukiangalia pande kama za Turkana tuko na mafuta. Hiyo ni bora zaidi kwao kwa kuwa itawasaidia. Upande wa chakula, tuko na Bonde la Ufa ambako vyakula vya aina mbalimbali vinakuzwa. Cha muhimu ni mahindi ambayo inatumika kila mahali nchini. Upande wa samaki kuna Uchumi Samawati pande za Pwani lakini wanaoweza kutoa samaki wengi ni upande wa Nyanza katika Ziwa Victoria. Hiki ni kitega uchumi chao. Wakikichukulia kwa maana pamoja na vitega uchumi vingine vilivyomo pale, Kaunti ya Kisumu na zile zingine zote zilizoko kule Nyanza zitafaidika."
}