GET /api/v0.1/hansard/entries/1165778/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1165778,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165778/?format=api",
    "text_counter": 184,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Upande wa iliokuwa Western Province kuna majabali ya utalii ambayo yanalia. Watalii wanaenda kule kwa wingi kuangalia ni kwa nini majabali fulani yaliyoko pamoja yanatoa machozi. Hii ni kwa sababu Mungu ametupea mazingira ya utalii."
}