GET /api/v0.1/hansard/entries/1165779/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1165779,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165779/?format=api",
    "text_counter": 185,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Mahali kama India, ukiwa Delhi ununue shati ama rinda ya Kshs15 zile wanaziita Rupee, hata ukasafiri kilomita 1,000 ndani ya India na kwenda Madras, ile nguo uliopata New Delhi kwa Kshs15 utaipata kule chini pia kwa Kshs15. Hii inamaanisha zile jumuia za kaunti za kule ambazo ni regional governments wanafanya kazi wakiwa wamesikizana. Kila mtu anategemea mwingine kuona kwamba kila mwananchi anafaidika aliko nchini India. Hayo yanawezekana kufanyika humu nchini."
}