GET /api/v0.1/hansard/entries/1165782/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1165782,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165782/?format=api",
    "text_counter": 188,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Jumuia ya Kaunti za Pwani, ikiwa wanaweza kushirikiana vizuri na tukiwa tunaweza kuwa na bandari ambayo asilimia fulani inatolewa na kupewa kaunti za Pwani, maendeleo fulani inaweza kupatikana. Bi. Naibu Spika, tunaelewa kwamba Bandari ya Dubai inasifika sana ulimwenguni. Watu wa Dubai wanashirikiana kama Emirates ."
}