GET /api/v0.1/hansard/entries/1165789/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1165789,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165789/?format=api",
"text_counter": 195,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Naibu Spika, yasikitisha kwamba hatujaweza kupata matunda ya wazo hili la jumuiya ya kaunti za Pwani ijapokuwa sisi katika Pwani tulikuwa wa kwanza katika nchi ya Kenya kuja na fikra kwamba hizi kaunti zinaweza kuungana pamoja zikaweza kuendesha mambo ambayo yatasaidia kaunti zote katika eneo lile."
}