GET /api/v0.1/hansard/entries/1165791/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1165791,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165791/?format=api",
    "text_counter": 197,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kwa mfano, kaunti zote za Pwani zina shida kubwa ya maji. Mombasa inapata maji yake kutoka Mzima Springs ambayo iko karibu kilomita 200 kutoka Kaunti ya Mombasa. Maji mengine yanatoka Baricho ambayo pia ni karibu kilomita 200 kutoka Kaunti ya Mombasa. Baricho iko katika Kaunti ya Kilifi."
}