GET /api/v0.1/hansard/entries/1165792/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1165792,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165792/?format=api",
    "text_counter": 198,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika, ukiangalia Kwale, pia wana shida ya maji. Mombasa, Kilifi, Tana River na Lamu wana shida ya maji. Lakini hatujaweza kuthibiti hii rasilimali ya maji ya Mzima Springs ili kuona kwamba tuna peleka maji maeneo yote katika Kaunti hizi za Pwani. Uzembe wetu ama kulala kwetu, bado tunatarajia Serikali Kuu iweze kutusaidia kuweza kuimarisha rasilimali hii ambayo ni muhimu sana katika maisha ya binadamu. Jambo lingine ambalo pia linatukwaza kule Pwani ni uchumi samawati yaani blue"
}