GET /api/v0.1/hansard/entries/1165799/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1165799,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165799/?format=api",
"text_counter": 205,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Tunasema regional economic blocs, yaani jumuiya za kaunti zinaweza kusaidia pia pakubwa kuweza kuimarisha raslimali ambazo ziko katika maeneo mawili tofauti. Kwa mfano, machimbo ya titanium ina hayo madini ambayo yanachimbwa na kupelekwa soko la nje. Katika maeneo fulani kule Kilifi kuna madini ya titanium ambayo hayajachimbwa. Kutumia ukaribu wa Kilifi na Mombasa utaweza kusaidia pakubwa kuimarisha biashara ya uchimbaji wa madini katika eneo la Kilifi wakati hayo machimbo yatamaliza madini yao."
}