GET /api/v0.1/hansard/entries/1165802/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1165802,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165802/?format=api",
"text_counter": 208,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "yaani wana nafasi nzuri. Kwa mfano, Mombasa ambayo ni jiji la bahari na ina bandari ya kimataifa lina nafasi nzuri ya kuleta wafanyi biashara kuliko maeneo mengine ambayo hayana raslimali au mawasiliano kama vile Kaunti ya Mombasa."
}