GET /api/v0.1/hansard/entries/1165917/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1165917,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165917/?format=api",
"text_counter": 99,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Nimesimama chini ya Kanuni za Kudumu Nambari 48(1), kuomba taarifa kutoka kwa Kamati ya Barabara na Usafirishaji, kuhusiana na kusimamishwa kwa kazi katika Bandari ya zamani ya Mombasa. Bandari hiyo ilikuwa ya kwanza kujengwa humu nchini. Ilitumika kwa miaka mingi mpaka mwaka wa 2017, wakati---"
}