GET /api/v0.1/hansard/entries/1165926/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1165926,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165926/?format=api",
    "text_counter": 108,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, katika tafsiri ya ile Kauli anayoieleza sasa Sen. Faki, ikiwa unaitafsiri tofauti na vile ilivyoandikwa kwa Kingereza, mtu asimame na kusema yale makosa. Ikiwa yeye ana utaalam wa kutafsiri hii Kauli ya Kiingereza kwa Kiswahili hakuna makosa yoyote. Anayosema ni yale ambayo ameandika kwa Kingereza."
}