GET /api/v0.1/hansard/entries/1165963/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1165963,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165963/?format=api",
"text_counter": 145,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante sana Bw. Spika. Wakati tulihairisha kikao, nilikuwa nazungumzia maswala ya Jumia za Kaunti za Pwani. Tulisema kwamba kuna miradi, kwa mfano, sehemu ya Kilifi na Tana River ambazo zinasifika pakubwa kwa kukuza maembe mazuri kama vile, Apple mango, Ngoe, Boribo na mengi mengine ambayo yanakuzwa katika eneo yale."
}