GET /api/v0.1/hansard/entries/1165965/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1165965,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165965/?format=api",
"text_counter": 147,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, Kaunti za Kilifi na Tana River zinajenga mitambo yao yak uprocess hayo matunda. Kwa hivyo, iwapo kaunti hizi zitakuwa katika mfumo mmoja, miradi kama hii itafanya kwa pamoja ili watu waweze kupata faida ya miradi kama hii na vile vile pia kupunguza gharama za maisha."
}