GET /api/v0.1/hansard/entries/1165966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1165966,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1165966/?format=api",
"text_counter": 148,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, nimeona kwamba Mswada huu ni muhimu sana kwa nchi yetu. Kwa hivyo, sote tuunge mkono ili kuhakikisha tuna Sheria yakuzisaidia kaunti zetu kuweza kuimarisha raslimali zetu ili kuwe na mapato zaidi. Naomba kuunga mkono."
}