GET /api/v0.1/hansard/entries/1167334/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1167334,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1167334/?format=api",
    "text_counter": 58,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo (",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Lamu CWR, JP) : Asante, Mhe. Spika. Ningependa kutoa rambirambi zangu kwa familia za Mhe. Kamoti na ya mke wa Mhe. Memusi. Nilipata nafasi kuenda Marekani na Mhe. Kamoti na tulipata nafasi ya kujuana kitabia na kujieleza. Alikuwa mtu mkarimu, mpole na mtendakazi. Mungu amuweke mahali pema na aipe familia yake nguvu wakati huu mzito."
}