GET /api/v0.1/hansard/entries/1167335/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1167335,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1167335/?format=api",
"text_counter": 59,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo (",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ni kweli amepata ajali ya barabara, lakini naomba Serikali ifanye uchunguzi zaidi. Huu ni wakati mgumu na una changamoto mingi. Isije ikawa kuna sababu zingine za ajali hiyo. Sisi Wabunge tuna maadui wengi. Mtu anaweza kufikiria ni ajali ya barabara ilhali amepangiwa. Kwa wale ambao tunatumia mashua huko Lamu, inaweza kuonekana kuwa mtu amepata ajali ya kawaida ilhali mtu amekupangia. Naomba Serikali ichunguze kwa kina na idhihirishe kuwa ni ajali, isiwe mtu amejificha hapo na kusema ni ajali."
}