GET /api/v0.1/hansard/entries/1167418/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1167418,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1167418/?format=api",
"text_counter": 142,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Tumekuwa tukiweka malalamishi mengi kwa sababu tunatoka maeneo yaliyo na shida nyingi. Kuna maombi yaliyoendelea hadi mwisho, na pia kuna yale ambayo hayakufika mwisho. Kamati hii ikibuniwa, itatusaidia sana. Tunapoenda kuwasilisha ombi, saa zingine, tunaelezwa tuliwasilishe kwa Kamati nyingine, hata baada ya kuwasilisha hilo ombi. Pia, hizi Kamati zinaingiliana. Kwa mfano, ukiwasilisha ombi kwenye Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Uchukuzi, unaambiwa Kamati husika ni Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi. Kwa hivyo, hii PetitionsCommittee itatusaidia sana ili tuweze kuleta maombi ya kutetea watu wetu kwenye Bunge. Pia, nimependezwa zaidi na Kamati ya National Government Constituency Development"
}